Muonekano wa jengo jipya la Kahama fm kwa mbele |
Studio za Radio Kahama fm zitahamishiwa rasmi tarehe 30/12/2013 siku ya Jumatatu kama unavyoona ni jengo jipyaaa liko eneo la mtaa wa Nyahanga mjini Kahama na ukitaka kufika pita barabara ya polisi kwenda juu Nyahanga angalia mkono wa Kushoto utaona jengo hilo.Kila kitu kimeshakamilika taarifa za uzinduzi rasmi zitawajia
Post a Comment