EWURA YARIDHIA ONGEZEKO LA BEI ZA UMEME


Mamlaka ya udhibiti wa  za nishati na maji -EWURA imeridhia ongezeko la bei za umeme kwa makundi tofauti ya wateja kwa viwango mbalimbali ambapo kwa wateja wadogo wa majumbani wasiotumia unit 75 kwa mwezi bei mpya ni sh.100 kwa unit.

Kwa  watumiaji wakubwa wa umeme wa majumbani watatozwa sh.306 kwa uniti huku kundi la watumiaji wa wastani wa uniti 7500 kwa mwezi bei iliyoridhiwa ni sh.205 kwa unit.

Kundi la wateja wa viwanda vikubwa ni sh.166 kwa unit na wateja waliounganishwa msongo wa kati ni sh.159 kwa uniti moja.

Credit itv

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
Previous Post Next Post