 |
Aliyevaa tisheti nyekundu ni kijana aliyejikuta katika wakati mgumu baada ya kutuhumiwa kuwa ameiba simu 3 usiku wa kuamkia leo katika eneo Bimbo ,Ngokolo mjini Shinyanga.Aliwavizia akinamama wakiwa wamelala jana usiku katika eneo la msiba uliotokea jana katika familia moja eneo hilo. Hapa jamaa anajitetea kuwa hakuiba ila amefananishwa tu.Kulia ni miongoni mwa waliokuwa wanamchapa bakora kijana huyo |
 |
Kijana huyo amejulikana kwa jina moja la Fikiri ,ndiyo huyu alituhumiwa kuiba simu,jana usiku amekamatwa mchana huu na kuanza kushushiwa kipigo na wananchi kabla jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga halijafika kumwokoa muda mchache wakati tukio la kuchapwa bakora likiendelea |
 |
Baadhi ya wanachi wakichungulia kilickuwa kinaendelea ndani kwani kijana aliingizwa ndani na kuchapwa bakora |
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527
Post a Comment