WAFANYA USAFI WA MANISPAA YA SHINYANGA WAKIENDELEA NAKAZI YA USAFI KATIKA BARABARA YA UHURU MJINI SHINYANGA |
KAZI IKIENDELEA HUKU NDOO ZIKIWA PEMBENI NDOO HIZI SIO KWAMBA ZINA MAJI YA KUNYWA NA VITAFUNWA ILA NI ALAMA TU ZA BARABARANI
KAZI BADO INAENDELEA HUKU NDOO ZIKINUSURU MAISHA YAO