Lugha kama hizi zimesababisha Watanzania wengi wakose hamu ya kusikiliza vikao
vya Bunge.
Tumechoshwa na lugha chafu za waheshimiwa. Bunge ni sehemu ambayo tulipaswa kuwa
tunasikiliza hoja za sera zikiwasilishwa na sheria kutungwa, lakini
imeshindikana.

JOSEPH MBILINYI:
"Mambo mengi ya nchi hii hayaendi kutokana na SERIKALI PUMBAVU....
Hatuwezi kuwa na WAZIRI WA ELIMU BOYA mwenye elimu ya kuunga unga halafu tufanye vizuri katika sekta ya elimu , haiwezekani."
------------
LIVINGSTONE LUSINDE:
"Siwezi
kuikubali taarifa hiyo.Nadhani huyu mtu bado amechanganyikiwa
na uchaguzi wa kenya.Mimi sijaitaja Chadema bali nimesema kuna
chama kimoja cha siasa,SIJUI YEYE ANAWASHWA NINI..!!
-------------
JUMA NKAMIA:
Sugu naomba unyamaze.Mimi ndiye nazungumza.Mimi siongei na mbwa,naongea na mwenye mbwa.
Post a Comment