Mchungaji Peter Msigwa ametangaza kujiondoa rasmi CCM na kurejea CHADEMA baada ya kufuata taratibu zote za chama hicho. 

Pia ameomba radhi kwa wanachama wa CHADEMA walioumizwa na msimamo wake wa awali.