Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Wimbo Mpya wa Injili : JANETH NGOSHA - NSANYAGEWE


Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Janeth Ngosha, ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya wa Injili unaoitwa “Nsanyagewe”, wimbo unaobeba ujumbe wa kumtegemea Mungu na kusimama imara katika imani licha ya changamoto za maisha.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com