
Nilipoanza kupata shinikizo la damu juu, maisha yangu yaligeuka kuwa changamoto kila siku. Nilikuwa nikihisi kichefuchefu, maumivu ya kichwa, na wakati mwingine kupoteza nguvu ghafla.
Watu walianza kuniona nikikosa nguvu, na mara nyingine walinilaumu kwa kula vibaya au kutojali afya yangu. Nilijaribu kutumia dawa za kawaida, kubadilisha lishe, hata kupunguza stress, lakini hakuna kilichonipa faraja ya kudumu.
Social Plugin