MERIDIANBET KASINO YA MTANDAONI YAJA NA SLOTI YA WANYAMA

Sloti ya Forest Rock             

Je, unajua kuwa wanyama pori wanaweza kukuletea ushindi? Ndio! Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet yote hayo yanawezekana. Meridianbet inakuletea sloti mpya yenye maudhui ya Rock ‘n’ Roll iliyotengenezwa na watengenezaji maarufu wa sloti Expanse Studio iitwayo Forest Rock.

 

Sloti ya Forest Rock ina muundo wa kizamani wenye kolamu 5 na mistari 15 ya ushindi. Kama kawaida ukiichagua kasino ya mtandaoni ya Meridianbet basi umechagua ushindi.

 

Sloti hii pendwa ya Forest Rock ina alama mbalimbali za wanyama pori wenye kukuletea faida kama vile Sungura alievaa headphone, Paka mwitu mpiga gitaa na Dubu ambaye anasimama kama meneja, Simba ni bonge la msanii na Tembo akiwa kama mpiga ngoma mkubwa. Sio hivyo tu, alama za Karata nazo zipo. Unasubiri nini kujiunga na familia ya washindi ya MeridianbetJiunge leo na ushinde.

Jinsi ya Kucheza Sloti ya Forest Rock

 

Ni rahisi sana kucheza sloti ya Forest Rock, unachotakiwa kukifanya ni kuhakikisha unapata alama tatu zenye kufanana ili ushinde. Kubwa zaidi ya yote ni pale utakapo pata alama tatu zenye nembo ya mchezo wa Forest Rock ambayo itakulipa hadi mara 20 ya dau uliloliweka. Sio hayo tu, Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet inakupa fursa ya kupata hadi mizunguko 20 ya bure.

 

Ukipata Jokeri tatu kwenye sloti hii utapewa mizunguko mingine zaidi. Sloti hii ya Forest Rock ina chaguo la kubashiri (Gambling option) ambalo linakupa fursa ya kuchagua kati ya kadi mbili ambazo ni Nyekundu na Nyeusi, uchague ipi itaanguka mezani na itakupa mara mbili ya faida uliyoipata. Cheza Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet upate bonasi kibao.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments