RAIS SAMIA SULUHU AHUTUBIA TAIFA KUHUSU SENSA YA WATU NA MAKAZI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kuhusu umuhimu wa kujitokeza kwenye shughuli ya uandikishaji wa Sensa ya Watu na Makazi Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 22 Agosti 2022.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments