![]() |
| Watoto kutoka Kambarage walikuwepo pia kumpa sapoti mtoto mwenzao katika hafla hiyo fupi iliyofanyika katika Ukumbi wa Shy Villa katika Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga |
![]() |
| Bwana Frank Mshana mwandishi wa habari ITV na Radio One akipata kinywaji laini |
![]() |
| Ukumbi wa Shy Villa |
![]() |
| Shaaban Alley akiwa na watoto,kushoto ni mtoto wake Alley Shaaban,kulia ni Mohamed mudy |
![]() |
| Watoto wakiwa ukumbini |
![]() |
| Watoto katika pozi mbalimbali |
![]() |
| Ni katika ukumbi wa Shy Villa Kambarage mjini Shinyanga |
![]() |
| Sherehe inaendelea |
![]() |
| Baba mtoto akizungumza jambo katika sherehe hiyo |
![]() |
| Pozi na watoto |
![]() |
| Msosi pia ulikuwepo |
![]() |
| Wanabadilishana mawazo na kufurahia sherehe |
![]() |
Bi Kurthum Alley
ambaye ni shangazi yake na mtoto Alley Shaaban akimsaidia kukata keki
|
![]() |
| Furaha ikatawala |
![]() |
Mtoto Alley Shaaban akimlisha keki mama yake mzazi,bi Aziza
Idd
|
![]() |
| Mtoto Alley Shaaban akimlisha keki baba yake |
![]() |
| Sherehe inaendelea |
![]() |
| Baba na mama wakimpa mkono wa pongezi mtoto wao kipenzi kwa kutimiza umri wa miaka 11 |
![]() |
| Zawadi zikachukua nafasi |
![]() |
| Watoto wanampongeza mtoto mwenzao |
![]() |
| Sherehe ikaisha kwa burudani-Picha zote na Kadama Malunde-Malunde1 blog |






















Social Plugin