 |
Wateja wa Bank ya NMB iliyoko Wilayani Geita Mkoani Geita wakiwa
wamepanga foleni zaidi ya masaa 18 kuchukua fedha kwenye ATM.
Inaelezwa kuwa mashine hizo ni mbovu jambo ambalo limekuwa
ni kero kwa wateja hao kwani wateja hao
wanalazimika kufika katika mashine hizo kuanzia saa moja asubuhi hadi saa nne
usiku bila kupata huduma na kulazimika kurudi tena kesho yake,kwani zimekuwa zikiharibika mara kwa mara- picha na
Valence Robert Geita.
|
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527