TAZAMA PICHA- HIVI NDIVYO MWILI WA MAREHEMU RACHEL HAULE ULIVYOAGWA VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR ES SALAAM

 Picha ya Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) ikiwa pembeni ya Jeneza lake mchana wa leo wakati wa kuagwa kwa mwili wake,kwenye viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Wacheza filamu hapa nchini,wakiwa pembeni ya Jeneza la Mpendwa wao Sheila Leo Haule (Rachel) aliefikwa na umauti hivi karibuni. 
 Sehemu ya Waombolezaji wakiwani ni wenye Majonzi Makubwa ya kuongokewa na mpendwa wao Sheila Leo Haule (Rachel). 
 Bw. Saguda ambaye ndie alikuwa mchumba wa Marehemu akilia kwa uchungu huku akiliwazwa na nduguye.
 Mwenyekiti wa Bongo Movie,Steven Nyerere akilia kwa uchungu.
 Zamaradi Mketema wa TakeOne ya Clouds TV alikuwa ni mmoja wa waombolezaji kwenye msiba huo. 
 Sehemu ya wacheza filamu wa Bongo Movie wakilia kwa uchungu kwa kuondokewa na Mwenzao,Marehemu Sheila Leo Haule (Rachel) wakati wa shughuli ya kuaga mwili wake iliyofanyika mchana wa leo kwenye viwanja vya Leaders Club,Jijini Dar es Salaam.
 Waombolezaji. PICHA ZOTE KWA HISANI YA MICHUZI BLOG

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم