| Wananchi waliohudhuria mkutano huo wakiinyoosha mikono baada ya kuulizwa na viongozi wa CHADEMA kama wanaunga mkono harakati za chama hicho |
| Mkutano wa hadhara unaendelea wananchi wanatafakari |
| Makamanda wa Chadema wakitafakari hotuba ya mbunge wa jimbo la Maswa mashariki lililopo mkoani Simiyu Sylvester Kasulumbayi |
| Mkutano unaendelea |
| Wengine walidiriki kukaa kwenye kivuli cha nyumba iliyokaribu na uwanja wa mkutano kufuatilia kilichokuwa kinajiri eneo la mkutano wa hadhara |
Social Plugin