Jinsi ya kujisajili Betway
Watu wengi wamekuwa wakiuliza jinsi ya kuweza kujiandikisha betway katika andiko hili tutajadili hatgua kwa hatua jinsi unavyoweza kufungua account yako ya betway kwa urahisi.
Tembelea tovuti ya betway.co.tz au bofya kiungo hiki > https://www.betway.co.tz
Bofya jiunge au jisajili
Jaza number ya simu bila kuanza na 0 au 255, mfano 766605390
Tengeneza password yenye vibambo kuanzia 8
Bofya unayo promo code kisha jaza voucher code au promo code ya betway ambayo ni TZA84
Bofya vibox vya kukubali sheria na masharti
Baada yahapo utakuwa umeshajisajili unaweza kuingia katika account yako na kuendelea na hatua nyinginezo.
JE UNAYO PROMO CODE? (Betway voucher code)
Hii ni signup code au code maalumu ya vocha ambayo hutumika kwaajili ya wateja wapya. Code hii huambatana na bonasi ambayo mteja anaweza kupata kwa kuweka pesa mara ya kwanza au bonasi nyinginezo baada ya kutumia kampuni ya betway. Promo code hii hutumika marra moja tu wakati wa kujiunga, Sehemu ya promo code jaza TZA84
FAIDA ZA KUTUMIA KAMPUNI YA BETWAY KUBASHIRI MIKEKA
1.Kampuni ya kuminika yenye leseni halali kutoka Gaming Board Tanzania- hii inakuhakikishia ubora na usalama wa kutumia kampuni ya betway kama malipo kwa wakati mara tu Baada ya kushinda kwenye mikeka au michezo ya kasino .
2. Odds kubwa ukilinganisha na betting sites nyingine betway inatoa odds kubwa kwenye michezo ya mpira wa miguu, mpira wa vikapu n.k
3.Bet influencer- kuwa balozi wa mikeka na betway, sambaza mkeka wako kupata code kama balozi, ambayo utashea marafiki. Kila mkeka utakaowekwa kwa code yako utapata 4% ya kila dau.
4. Free bet za mara kwa mara- hutolewa ukijiunga au kujisajili na betway kwa kutumia promocode ya Bahati ya betway ambayo ni TZA84 bet jumla ya tsh 3,000 kwenye michezo upate free spin 5 kila siku.
Maswali ya mara kwa mara kuhusu Betway.
Je kiasi cha kubeti mkeka betway ni tsh ngapi?
Kiasi cha dau la mwisho kubeti betway ni tsh 100
Kiasi cha chini cha kutoa betway ni tsh ngapi?
Kiasi cha chini cha kutoa pesa betway ni tsh 1,000
Promo code ya betway ni ipi?
Promo code ya kujisajili betway au voucher code ni TZA84
Je betway kuna cashout? 👉Ndio kampuni ya betway kuna cashout,
Mwisho
Kumbuka kucheza kistaarabu na kuweka kiwango ambacho unaweza kuhimili endapo utapoteza. Kumbuka wakati sahihi wa kupumzika kucheza au kuacha kabisa kubeti.

TAFUTA HABARI
Social Plugin