
Kulizuka taharuki isiyo ya kawaida katika kituo kimoja cha polisi mjini Kisii baada ya nyuki wanaokadiriwa kufikia elfu mbili kuvamia ghafla eneo hilo na kusababisha vurugu, majeraha madogo na sintofahamu miongoni mwa maafisa na wananchi waliokuwa wamekusanyika nje ya kituo hicho.
Tukio hilo la kushangaza lilitokea saa chache tu baada ya mfungwa mmoja anayeshikiliwa kwa tuhuma za wizi wa mamilioni kudai kuwa yuko tayari “kusema ukweli wote.”
Social Plugin