Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI MISA TAKATIFU YA KUMUOMBEA HAYATI JPM




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiungana na Viongozi pamoja na Wananchi mbalimbali katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Miaka Mitano ya Kifo cha Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, inayofanyika Chato mkoani Geita, leo tarehe 17 Machi 2026. Misa hiyo inaongozwa na Askofu wa Jimbo Katoliki Rulenge – Ngara, Mhashamu Severine Niwemugizi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com