
Watu sita wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani, iliyotokea katika eneo la Injiri, Wilaya ya Ikungi mkoani Singida, ikilihusisha basi la Kampuni ya Green Line.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Amon Kakwale, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo, huku chanzo chake kikitajwa kuwa ni tairi la basi hilo kukwama kwenye shimo.

Social Plugin