Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

ALIYEKUWA AKITUHUMIWA KUOLEWA NA ‘JINI’ KISA KUTOSHIKA MIMBA, SASA NI MAMA WA WATOTO WANNE!




Naitwa Brenda, mkazi wa mkoa wa Arusha. Mimi ni mwanamke mjasiriamali ninayemiliki maduka kadhaa ya utalii, lakini mafanikio yangu ya kifedha yalikuwa chungu kwangu. Kwa miaka kumi na moja ya ndoa, sikuwa nimefanikiwa kubeba hata ujauzito mmoja uliotoka (miscarriage), achilia mbali wa kuzaliwa.

Majirani na hata baadhi ya wafanyakazi wangu walianza kunisema kwa siri kuwa huenda niliolewa na “jini la mali” ambalo linazuia mimi nisizae ili nishindwe kuacha mrithi.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com