Msanii Ng’wana Kang’wa, nyota wa muziki wa asili kutoka Kanda ya Ziwa, ameendelea kuthibitisha ubunifu wake baada ya kuachia rasmi wimbo wake mpya unaoitwa Isumbi (Kiti).