Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

SANTA EDWIN PRE & PRIMARY SCHOOL INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO 2026, UDAHILI WANAOHAMIA UNAENDELEA


Shule ya Awali na Msingi Santa Edwin inapenda kuutangazia umma kuwa inaendelea kupokea wanafunzi wanaojiunga na wanaohamia (Transfers) kwa madarasa yote, kuanzia Awali hadi Msingi.

📍 Mahali: Majengo Mapya, Nyegezi – Mwanza

Shule inatoa huduma za:

🏫 Bweni

🏫 Kutwa

Santa Edwin ina:

Mazingira bora ya kujifunzia

Walimu wenye uzoefu

Malezi yanayozingatia maadili, nidhamu na ubora wa elimu

📞 Kwa mawasiliano na maelezo zaidi: 0754 551 306 au 0786 349 813

Karibu Santa Edwin – Msingi Imara wa Elimu na Maadili ya Mtoto Wako.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com