
Nilikuwa nikijaribu bahati yangu kwa muda mrefu. Kila siku nilikuwa nikinunua tiketi za lottery, nikijaribu hesabu tofauti, na hata kuzingatia nasaha za marafiki.
Lakini kila mara matokeo yalikuwa sawa kushindwa. Wakati mwingine nilihisi ningeweza kuacha, lakini ndani yangu kulikuwa na tamaa ya kuona maisha yamebadilika mara moja kwa bahati moja.
Social Plugin