Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

TRA FC KAGERA YANG'AA NA KUCHUKUA KODI KWA WAFANYABIASHARA FC, BONANZA LA IJUKA OMUKA 2025


Kikosi cha TRA FC

Kikosi cha Wafanyabiashara Fc wenye jezi nyekundu



Na Mbuke Shilagi Kagera.

Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA FC Mkoani Kagera wameng'aa kwa ushindi wa mikwaju ya matuta dhidi ya Wafanyabiashara Fc.

Mashindano hayo yameisha kwa sale ya bila kufungana ambapo mikwaju ya penalti kwa timu zote zilipigwa na TRA wakaibuka washindi kwa mikwaju ya penalti 6-5 na kukusanya mapato kwa Wafanyabiashara Fc.


Bonanza la Ijuka Omuka limejumuisha timu mbalimbali ambazo zimechezwa na washindi kupatikana ambapo mchezo.

FT: Maafisa biashara fc 2(P) - Machinga Fc 3(P)
FT:W/Habari 0-1 Walimu
FT: TRA Fc 6(P) - Wafanyabiashara Fc 5(P)
FT: V/Dini Fc 1 - 0 V/Serikali
FT:Vijana Fc 2-1 Veteran
FT:Polisi Fc 1-2 Bodaboda Fc.

Aidha michezo mingine iliyochezwa ni mpira wa kikapu kwa wanawake,kuvuta kamba,kukimbiza kuku na kukimbia kwenye magunia kwa wanawake na wanaume.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com