Wasanii Damas Kalole na Solo MC wameachia wimbo mpya unaitwa Buchoji (Utafutaji)
Katika wimbo huu, na pamoja wamekuja na sauti kali, mistari yenye nguvu na beat inayowavuta wasikilizaji kuendelea kucheza au kufikiria lengo lao la maisha.
SIKILIZA WIMBO HUU HAPA

Social Plugin