
Moshi, Tanzania wakati kijana mmoja mwenye umri wa miaka 29 akianza kucheza kamari mitandaoni miaka mitatu iliyopita, marafiki na familia walimcheka na kumuita mvivu, mtegemezi na mpotezaji muda.
Kwao, kubashiri ilikuwa ni njia ya haraka ya kupoteza pesa na kujipeleka kwenye umasikini. Lakini leo hii, yeye ndiye anayewakopesha pesa za kodi, akimiliki maduka mawili ya jumla na gari aina ya Toyota Harrier aliyonunua cash.
Social Plugin