
Wakazi wa jiji la Mbeya walishtushwa na tukio lisilo la kawaida lililotokea, ambapo mwanaume mmoja anayejulikana kwa jina la Richard aliripotiwa kushindwa kutembea ghafla baada ya kutoka nyumbani kwa mwanamke anayedaiwa kuwa mpango wake wa kando. Tukio hilo liliwavutia watu wengi na kuzua mijadala mikali kuhusu uaminifu kwenye ndoa na nguvu za kiroho.
Social Plugin