Siku hiyo ilikuwa kama ndoto. Mteja mmoja aliyevaa vizuri na kuendesha gari la kifahari alikuja dukani kwangu ghafla. Alitembea ndani, akatazama bidhaa zangu, na ndani ya dakika chache akasema, “Ungependa kuuza duka hili? Naweza kulinunua leo, hela taslimu.” Nilishtuka. Soma zaidi