Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Tanzia : MZEE SALIM ABDALAH SIMBA AFARIKI DUNIA

Mzee Alhaj Salim Abdalah Simba enzi za uhai wake
Mwenyekiti Mstaafu wa Jumuiya wa Wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Shinyanga Alhaj Salim Abdalah Simba amefariki dunia.

Taarifa kutoka ndani ya CCM Shinyanga zinaeleza kuwa mzee Simba amefariki dunia leo majira ya saa tatu usiku Mei 11,2025 katika Hospitali ya Manispaa ya Shinyanga.


Taarifa zaidi tutawaletea hivi punde

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com