Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

BODI YA REA YAZURU KABURI LA HAYATI MAGUFULI CHATO


Bodi ya Nishati Vijijini (REB) imeendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi ya umeme vijijini  katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Ikiwa wilayani Chato mkoani Geita, Bodi hiyo   leo Mei 6, 2025 imetembelea kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Hayati Dkt. John Pombe  Magufuli.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com