Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Kata ya Mchomoro, Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma tarehe 26 Septemba, 2024.