BALOZI DKT. NCHIMBI ASHIRIKI KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza wakati wa hotuba ya ufunguzi wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere, lililofanyika Jumatatu Aprili 8, 2024 katika Ukumbi wa Utamaduni wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni, Dar Es Salaam, ambalo lilijumuisha watu mbalimbali, ambapo kabla ya hapo, alitembelea mabanda na kujionea maonesho ya ubunifu katika masuala mbalimbali unaofanywa na wanafunzi wa chuo hicho.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم