Na Oscar Assenga, TANGA
JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga limefanikiwa kuwakamata raia wawili wa Kenya ambao limedai wamekuwa wakifanya uhalifu wa kuiba pesa na mali za watu kutoka kwenye magari yao.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Almachius Mchunguzi alisema kukamatwa kwa raia hao kunatokana na operesheni mbalimbali za kukabiliana na uhalifu mkoani humo.
Alisema kwamba watu hao wamekuwa wakivizia watu wanapoenda kuchukua fedha zao benki, wakienda kupaki sehemu wanafungua magari na kuchukua fedha .
Kamanda huyo alisema watuhumiwa hao walikamatwa saa tatu na nusu asubuhi eneo la Barabara 13 Ngamiani Kati na Tarafa ya Ngamiani Kati wilaya ya Tanga walikamatwa watuhumiwa hao wawili.
Aliwataja waliokamatwa kuwa ni Idrisa Mussa Kasimu (24) fundi umeme raia wa Kenya na Samweli Kimath Mwenda (35) mfanyabiashara raia wa Kenya ambao watuhumiwa hao walikuwa wanatumia gari aina ya IST lenye namba za usajili T931 CVS ambalo walikuwa wanalitumia kutekeleza wizi huo.
Aidha alisema watu hao walikamatwa na kufanyiwa upekuzi na gari walilokuwa nalo na kufanikiwa kukutwa na rimoti rangi nyeusi ambazo hutumika kutolea alamu za magari,rimoti rangi ya kijivu ambayo hutumika kutoa lock za magari.
Alisema pia walikamatwa na rimoti ndogo rangi jeusi ambalo hutumika kufungulia mageti,simu tatu smart phone na simu ndogo na vitambulisho mbalimbali ambavyo vilikuwa vinawasaidia kutekeleza uhalifu huo.
Kamanda huyo alisema katika mahojiano watuhumiwa hao walikiri kufanya makosa hayo katika maeneo mbalimbali lakini kosa lilithibitika ni moja ambalo tayari wameshawafikisha mahakamani kujibu tuhuma zinazowakabili.
Kwanza kabisa nataka kukwambia kwamba hakika utajiri ni hazina kutoka kwa mwenyezi mungu na pia kuna viumbe alio wapa mamlaka na nguvu ya kumiliki mali)
ردحذفMPAKA MASAA 72(SIKU3) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......
KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA
kwa maelezo kamili piga namba +255742162843
(KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......
NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
(HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.
NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.
(kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
1. uwe una umri wa miaka 18+
2. uwe tayari kupokea masharti yote
3.uwe na uwezo wa kutunza siri
4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote
KARIBU SANA KWA SHIDA NYINGINE PIA ULIYONAYO AMBAYO SIJATAJA INSHAALAH ITATATULIWA IKIWA NDANI YA UWEZO WANGU.
إرسال تعليق