UBINGWA WAKO WIKENDI HII UNAANZIA HAPA

 


Ushindi huu ni wako mteja wa Meridianbet kama mechi za UEFA na Europa hazikukupatia pesa basi usihofu wikendi hii inaenda kutenda maajabu yani kwa dau lako dogo tu ambalo utaweka utapata kitita cha pesa kwa kuchagua mechi zako za ushindi kwenye ligi mbalimbali. Ili Kuwa bingwa sasa ingia Meridianbet sasa.

Ukishaingia Meridianbet nenda pale EPL utakutana na mechi kibao za kupiga mkwanja ya kwanza ni kati ya Crystal Palace dhidi ya Fulham ambapo mechi hii imejaa machaguo kibao pamoja na ODDS za kutosha. Kwenye mkeka wako usiache kuiweka mechi hii.

Everton ambaye hajashinda mechi yoyote mpaka sasa yeye atakuwa ugenini kucheza dhidi ya Brentford ambaye ana majonzi ya kupoteza mchezo wake uliopita. Frank Thomas na vijana wake wamependelewa ODDS ya 1.81 ya ushindi kabisa huku The Toffees wakipewa 4.21 kuwa wababe wa mechi hiyo. Beti mechi hii sasa.

Mechi ya kuwania pointi zingine 3 hapo kesho itakuwa ni kati ya Luton Town dhidi ya Wolverhampton ambapo timu hizi zote mbili hazina mwenendo mzuri wa matokeo huku mwenyeji akiwa ndiye anashika mkia na mgeni akiwa nafasi ya 16 kwenye msimamo wa EPL. Suka jamvi lako bila kusahau mechi.

Meridianbet wamekuletea promosheni ya Keno ambayo unaweza kujishindia zawadi mbalimbali kama vile boda boda, simu aina ya Samsung A32 pamoja na pesa taslimu. Ingia Meridianbet na ucheze sasa.

Ligi ya Ujerumani yani Bundesliga pia kama kawaida itapigwa, Borussia Dortmund baada ya kupokea kichapo kwenye ligi ya mabingwa atacheza dhidi ya Wolfsburg katika dimba la Signal Iduna Park. Terzic amepewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu kwa ODDS ya 1.71 kwa 4.21. Wewe unamdhamini nani mechi hii?

RB Leipzig atakuwa mgeni wa Borussia Monchengladbach ambaye ametoka kutoa sare a kufungana mchezo wake uliopita wa ligi. RB ameendelea kuwa wa moto sana kwenye mechi zake nne zilizopita ambazo ameshinda zote. ODDS KUBWA zipo hapa bashiri sasa na Meridianbet.

 

Cheza michezo ya kasino ya mtandaoni inayotolewa na Meridianbet kama vile Aviator, Poker, Roulette, Keno, Wild Icy Fruits na mingine kibao kwa dau dogo tuu kuanzia shilingi 200.

EPL nayo haipo nyuma kazima kitawaka kesho Manchester United atakua ugenini dhidi ya Burnley kusaka pointi tatu muhimu baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo kwenye ligi. Je Ten Hag atafanya nini kesho kuipatia United ushindi?. Ikumbukwe kuwa mwenyeji hajashinda hata mechi moja toka ligi ianze. Atakuwa kikwazo kwa Mashetani?

Bingwa mtetezi Manchester City chini ya Pep Guardiola wao watakuwa pale Etihad kucheza dhidi ya Nottingham Forest. City ndio timu ambayo imeshinda mechi zote mpaka sasa. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Suka jamvi lako na ubeti sasa.

Mechi nyingine yenye ODDS KUBWA pale Uingereza ni kati ya Crystal Palace dhidi ya Fulham. Msimu uliopita walipokutana mgeni aliondoka na alama 4 yani mechi ya kwanza alishinda na ya pili wakatoa sare. Machaguo ni mengi mechi hii baashiri sasa.

Jckpoti kubwa ya Meridianbet inaendelea bashiri kupitia USSD kwa dau la shilingi 1000 pekee ili uweze kuvuna mkwanja wa shilingi 85,000,000 ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Piga *149*10#.

Serie A nayo itaendelea kurindima wiki hii ambapo leo hii zitapigwa mechi mbili Salernitana atamualika Frosinane nyumbani kwake huku mwenyeji akiwa hana mwenendo mzuri kwenye mechi zake ambazo amecheza kwani mpaka sasa na apointi 2 pekee kwenye mechi 4 ambazo amecheza. Mgeni yupo nafasi ya 6 akiwa na pointi 7. Bashiri mechi hii ndani ya Meridianbet.

Nyingine itakuwa ni kati ya Lecce dhidi ya Genoa ambapo mwenyeji kushinda amepewa ODDS ya 2.50 wakati kwa upande wa mgeni yeye amepewa 3.04. Beti yako wewe unaiweka kwa nani ambaye unaona kabisa lazima ashinde.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم