Kupitia tovuti ya meridianbet kasino ya mtandaoni kila wiki jumapili muenendo wa wachezaji utachunguzwa, kuanzia Ijumaa usiku na kumalizika Alhamisi saa 11:59 usiku. Wachezaji watapewa zawadi kulingana na sababu tofauti, na shughuli zao ndio zinazoamua ukubwa wa bonasi yao.
Hivi ndivyo alama za wachezaji zitakavyo hesabiwa:
- Meridianbet itaangalia ni siku ngapi mchezaji alikuwa anacheza na kubashiri kiwango cha chini cha TSH 50,000 kila siku.
- (Jumla ya Kiwango Kilichotumika Kubashiri / 75,000) * Odds za Mchezo
- Tunagawanya jumla ya alama kwa 100, na hizo ndio alama. Kila alama itakuwa na thamani ya TSH 2,500
Wachezaji wanaweza kupata alama kulingana na shughuli zao:
- Ikiwa watacheza kwa siku 5 na kubashiri kiwango cha chini cha TSH 50,000 kila siku, watapata alama 300.
- Kwa siku 6, watapata alama 500.
- Kwa siku 7, watapata alama 700.
Kila mchezo una odds tofauti:
- Mashine za Sloti na Michezo ya kasino ya mtandaoni ina thamani ya alama 4 kila moja.
- Roulette na Poker ina thamani ya alama 1 kila moja.
- Blackjack na Quiz ina thamani ya alama 0.5 kila moja.
Mifano:
- Mfano 1: Ikiwa mchezaji atacheza kwa siku 5 na kubashiri TSH 50,000 kila siku kwenye michezo ya Mashine za Kubashiri (Sloti), atapata bonasi ya kasino ya mtandaoni ya TSH 7,825, kulingana na kanuni ifuatayo: 300 + (250,000/75,000) * 4 = 313 / 100 = alama 3.13 za kasino. kila alama itakuwa na thamani sawa na bonasi ya TSH 2,500 = 3.13 x 2,500 TSH = 7,825 TSH Bonasi ya Kasino ya Mtandaoni.
- Mfano 2: Ikiwa mchezaji atacheza kwa siku 7 na kubashiri TSH 2,500,000 kwenye michezo ya Ruleti, watapata bonasi, kulingana na kanuni ifuatayo: 700 + (2,500,000/75,000) * 1 = 733 / 100 = alama 7.33 na kila alama ikiwa na thamani sawa na bonasi ya 2,500 TSH = 7.33 x 2,500 TSH = 18,325 TSH Bonasi ya Kasino ya Mtandaoni.
Meridianbet ina haki ya kubadilisha kanuni za promosheni, kuusitisha au kumundoa mchezaji wakati wowote.
NB: Mchezo wa Aviator Kasino mtandaoni inakupa bonasi ya beti za Bure 200 kila siku kwa wachezaji, mizunguko itagawiwa kwa wachezaji bila mpangilio huenda ikakuamgukia wewe. Cheza Aviator Ushinde.

Social Plugin