UTAMU WA ODDS KUBWA MERIDIANBET UNAENDELEA



 

Jisajili na Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza moja ya mchezo unaopenda wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. https://a.meridianbet.co.tz/c/NpUbSL

 

 

Utamu wa mpira unaendelea wikiendi hii kwenye viunga mbalimbali ulaya, ni baada ya kusimama kwa ligi kwa takribani wiki moja. Pale ardhi yenye vipaji vya soka EPL kutawaka moto, Bundasliga kuna Derby ya Der Klassiker au German Classica nyasi zitakauka vumbi kutimka.

 

Ni Pep Guardiola na Jurgen Klopp watatunishia misuli kwa ubora wa mbinu zao, haipingwi mjerumani huyo wa Anfield ni moja ya makocha bora EPL lakini haitoshi kumuweka chini Guardiola. Ni Manchester City vs Liverpool odds kubwa Meridianbet unazipata jiunge na mabingwa uwe bingwa.

 

Wakati hayo yanaendelea kwenye dimba la Stamford Bridge darajani Chelsea atakua na shughuli ya kuzisaka pointi 3 kutoka kwa Aston Villa. Odds za ushindi ziko hivi Chelsea 1.67 vs 5.09 ya Villa. Lakini pia vinara wa Ligi Arsenal jeshi la Arteta litakipiga na Leeds ambao wamepewa odds kubwa ya 9.60 ashinde huku sare ikiwa na 5.88, odds za ushindi Newcastle vs Man United 2.40 vs 2.89 Bashiri mubashara mechi hizi au kwenye duka la ubashiri la Meridianbet uwe moja ya washindi.

 

Moja ya ligi ngumu sana Bunasliga kuna michezo mingi wikiendi hii mechi kali ni Wolfsburg vs Augsburg, Union Berlin vs Stuttgurt, RB Leipzig vs Mainz lakini mechi inayosubiriwa na wengi ni Derby ya Der Klassiker ni Bayern Munich vs Borussia Dortmund wakiwa na utofauti wa alama 1 tu Bayern wa pili kwenye msimamo na pointi 52 huku Dortmund anaongoza ligi na alama 53, huu mchezo utaishaje?  Odds kubwa za ushindi ni Dortmund ana 5.48 sare 5.09 na ushindi kwa Bayern una 1.47

 

Mkeka wako hakikisha umekamilika na ili ukamilike hakikiza unapita kwenye ligi kubwa ulaya Serie A Juventus atakipiga na Verona, Inter Milan vs Fiorentina, Roma vs Sampdoriahuku kubwa kuliko ni odds kubwa mechi ya Napoli dhidi ya AC Milan machaguo 1000+ bashiri mubashara au kwenye duka la ubashiri ujiweke kwenye nafasi ya ushindi.

 

 

NB: Meridianbet wanakurudishia x100 ya dau lako pale ambapo tiketi yako itachanika kwa mechi moja. Bonyeza hapa kufahamu kuhusu ofa hii www.meridianbet.co.tz

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments