Breaking News : SHEIKH MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM ALIYEVUNJA NDOA YA DR MWAKA AFUKUZWA KAZI


Sheikh Alhad Mussa

Uamuzi wa kumtengua Sheikh Alhad umekuja ikiwa imepita wiki moja tangu, kiongozi huyo alipotangaza kuivunja ndoa ya mtaalamu wa tiba mbadala, Juma Mwaka Juma maarufu kwa jina la Dk Mwaka na mkewe Queen Masanja Januari 25 mwaka huu, kufuatia ombi la mwanamke huyo kudai talaka.

Hata hivyo, siku mbili baadaye, yaani Januari 27, Baraza la Ulamaa lilikutana kwa dharura na kubatilisha uamuzi huo.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments