RAIS SAMIA AZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA ENEO HURU LA BIASHARA LA AFRIKA (AFCFTA), DAVOS NCHINI USWIZI.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wawekezaji, wadau wa maendeleo pamoja na baadhi ya Viongozi Wakuu wa Nchi za Afrika katika Mkutano wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA)uliofanyika Davos nchini Uswizi tarehe 18 Januari, 2023.

Katika mkutano huo uliohusisha wadau hao, Mhe. Rais Samia amesisitiza kuimarisha Ushirikiano na wadau hao pamoja na kuzitafutia ufumbuzi changamoto za Uwekezaji ili nchi za Afrika zizidi kuzalisha kwa tija.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments