Wabunge wa Bunge la Afrika (PAP) wamepitisha kwa kishindo marekebisho ya Kanuni za Bunge la Afrika baada ya kuendesha mijadala mbalimbali kupitia Kanda mbalimbali.
Wamepitisha Kanuni na Sheria za Bunge leo Alhamisi Novemba 3,2022 katika Kikao cha nne cha Mkutano wa Kwanza wa Kawaida wa Bunge la Sita la Afrika (Pan African Parliament - PAP)
Discussion on amendment of PAP rules of procedure
👇👇




Social Plugin