HII NDIO DAWA YA MATAPELI WA VIWANJA

 

Jina langu ni Amosi kutokea Meru nchini Kenya, mwaka 2019 nilinunua kiwanja kwa ajili ya kuanza ujenzi baada ya kukusanya fedha zangu kwa miaka mingi sana.

Hii ilikuwa ni ndoto yangu ya miaka mingi kwamba siku moja nami nije kuwa na kwangu kisha kuanzisha familia yenye furaha.

Basi nilikutana na madalali na kuniambia kuna kiwanja kikubwa kinauzwa mahali na kipo katika eneo zuri hivyo naweza kuchangamkia fursa hiyo mara moja.

Nilienda kuona kiwanja hicho na kujidhirisha kweli ni kizuri, basi nilianza mchakato wa malipo mara moja ili asije akatokea mtu mwingine akakinunua kiwanja hicho.

Hatimaye nilifanikiwa kulipia na kupatiwa hati kuwa mimi ndiye mmiliki wa eneo hilo. Hapo moyo wangu ulitulia na kujua kilichobakia sasa ni hatua tu ya ujenzi ambao ulitarajia kuanza siku sio nyingi.

Cha kushangaza ni kwamba nilikuja kupata taarifa kuwa yule aliyeniuzia kile kiwanja ni mtu tapeli ambaye ameshatapeli watu wengi katika maeneo mengi nchini Kenya.

Ni mtu ambaye ana mtandao mrefu sana kiasi kwamba ni vigumu sana kumpata na hatia hata ukimfikisha mahakamani.

Kuna ndugu yangu aliniambia kuwa nikaonane na Dr. Kiwanga atanisaidia kushinda kesi hiyo ya madai ambayo nilikuja kuifungua siku za mbeleni.

Nashukuru Dr. Kiwanga alinifanyia tiba ya kweli na kunihahakikishia haki yangu itapatikana tena ndani ya muda mfupi tu. Basi nilifungua kesi ya utapeli mahakamani na shauri letu likaanza kusikilizwa.

Watu wengi walijua nitashindwa kesi hiyo maana mtu huyo ni tapeli aliyebobea. Lakini kwa nguvu ya dawa za Dr. Kiwanga nilishinda kesi hiyo na kurudishiwa fedha zangu pamoja na gharama za kesi hiyo.

Kumbuka Dr. Kiwanga ana uwezo kumfanya mtu kuwa na bahati maishani mwake, kushinda katika michezo ya bahati nasibu, kukukinga na maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara.

Pia anatibu magonjwa kama Kaswende, Kisonono, Kifua Kikuu, Presha na mengine mengi, kwa mawasiliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com, tembelea tovuti yake; www.kiwangadoctors.com au piga simu +254 769404965.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments