MTAJI WA SH. 100 UNATOBOA MAMILIONI


Wengi wanaiita bati, wengine wanaiita mia. Ni sarafu yenye thamani ndogo sana kwa maisha ya sasa kwa sababu hata soda tu hupati.


Zile stori za leo nimefulia kinoma, siwezi kubeti game ya leo zimefika mwisho.Kwa bati tu, ndoto na mipango yako inaweza kukamilika kupitia M-Bet.


Shilingi mia ambayo wengi tunaichukulia poa, mia hiyo hiyo inakuwezesha kuingia kwenye ulimwengu wa mamilionea kutoka M-Bet.

 

Kwa sasa unaweza kubashiri mechi mbalimbali kwa kuweka kiasi cha Shilingi mia moja pekee na utaweza kutusua hadi mamilioni.

 

Hii inavunja rekodi kwa mara nyingine tena ambapo M-Bet imetoa punguzo kutoka Shilingi 500/= iliyokuwa kiwango cha chini cha kubeti hadi shilingi mia.

 

Hatua hii inakupa uhuru zaidi wa kubashiri hata muda ambao huna pesa ya kutosha kwani mia tu inafanya upate zaidi.

 

“Hii ni ya kwanza hapa M-Bet.Tumeamua kuwapa wateja wetu uhuru wa kupata burudani na kushinda zaidi kwa kutumia kiasi kidogo tu cha Shilingi mia moja,” anasema Mkurugenzi wa Masoko, Allen Mushi.

M-Bet ambayo ni mdhamini wa klabu ya Simba kwa udhamini wa miaka mitano mfululizo wenye thamani ya Bilioni 26 inajulikana kwa kutoa mamilinionea kupitia Jackpot ya Perfect12.

 

Moja ya hizo ni Perfect 12 jackpot ambayo inakuwezesha kushinda zaidi ya milioni 60 kwa buku tu.


 


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553 au 0625 918 527

0/Post a Comment/Comments