RAIS SAMIA AFUNGA MAADHIMISHO YA KILELE CHA MATEMBEZI YA MIAKA 58 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR KISIWANI PEMBA


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Pemba mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba leo tarehe 07 Januari 2022 kwa ajili ya kufunga Matembezi ya Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Matembezi ya Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo tarehe 07 Januari 2022 katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. -Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Tuzo kwa Katibu Mkuu UVCCM Taifa Ndugu Kenan Laban Kihongosi kwenye Matembezi ya Maadhimisho ya kilele cha miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo tarehe 07 Januari 2022 katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Bendera ya Taifa kutoka kwa Abdalla Ali Chumu kwenye Maadhimisho ya kilele cha Matembezi ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo tarehe 07 Januari 2022 katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Bendera ya Chama cha Mapinduzi CCM kutoka kwa Hadija Khalfan Ismail kwenye Maadhimisho ya kilele cha Matembezi ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo tarehe 07 Januari 2022 katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba.


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Picha ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi kutoka kwa Rajab Ali Rajab kwenye Maadhimisho ya kilele cha Matembezi ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo tarehe 07 Januari 2022 katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba.


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Picha kutoka kwa Hadija Khalfan Ismail kwenye Maadhimisho ya kilele cha Matembezi ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo tarehe 07 Januari 2022 katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba.


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Bendera ya Zanzibar kutoka kwa Rajab Ali Rajab kwenye Maadhimisho ya kilele cha Matembezi ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo tarehe 07 Januari 2022 katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba.


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Cheti Habibu Rashid Mbota kwa Niaba ya Vijana kutoka Tanzania Bara walioshiriki kwenye Matembezi ya Maadhimisho ya kilele cha miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofikia kilele chake leo tarehe 07 Januari 2022 katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika Maadhimisho ya kilele cha Matembezi ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 07 Januari 2022 katika uwanja wa Makombeni Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم