WASANII KIBAO WAKIONGOZWA NA DIAMOND KESHO KUKIWASHA DAR ..JPM AKIUNGURUMA UWANJA WA MKAPA

 

JAMBO KAMA JAMBO: Kwa Mkapa Kesho Kinaumana. Ni Mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli. Tutaeleza tulikotoka, Tulipo na Tunakoenda na Kueleza kwa Mapana Sera na Ilani yetu iliyoshiba na kugusa kila eneo la Maisha ya Mtanzania.

Vijana Wasanii Wakiongozwa na Diamond, Harmonize, Alikiba, Nandy na Wengine zaidi ya 20 Watakuwepo kueleza kwa njia ya Sanaa ushuhuda wao wa Mambo makubwa yaliyofanyika ndani ya Miaka 5 tu. 

Ni ndani ya Uwanja
wa Mkapa Jijini Dar es Salaam Kuanzia Saa 2 asubuhi. Usikubali Kusimuliwa Wala Kuhadithiwa. Njoo tusherekee pamoja huku tukifurahia Sera bora za CCM. @ccmtanzania #T2020JPM #VitendoVinaSauti

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم