Prof Patrick Ndakidemi ameibuka mshindi katika mchakato wa kura za maoni  Jimbo la Moshi Vijijini  kwa kupata kura 262 akifuatiwa na Deogratius Mushi aliyepata kura 46
huku mshindi wa tatu akiwa ni Moris Makoi  aliyepata kura 35.