RAIS MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WAPYA 146 WA JWTZ

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Dkt John Magufuli, leo Machi 30, 2019, amewatunuku Kamisheni Maofisa Wanafunzi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).Rais Magufuli amewatunuku Kamisheni katika cheo cha Luteni USU maafisa hao wanafunzi ambao idadi yao ilikua 146.

Hafla ya utunukiwaji kamisheni kwa Maafisa hao imefanyika katika viwanja wa Ikulu jijini Dar es Salaam.Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم