AJALI:BASI LA KAMPUNI YA TASHRIFF LATETEKETEA KWA MOTO SOMA ZAIDI HAPA
الأربعاء, أكتوبر 24, 2018
AJALI:Basi La Kampuni Ya TASHRIFF Limeteketea kwa moto asubuhi ya leo, ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo karibu na kituo cha mafuta kilichopo kange mkoa wa Tanga katika tukio hilo hakuna abiria aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa.Thamani ya mali zilizoteketea bado haijafahamika. MALUNDE 1 inaendelea kufatilia tukio hilo na itakuletea habari kamili hapa hapa
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin