NAIBU WAZIRI AWESO AWATAKA WAKAZI WA PANGANI KUSHIKANA KWA AJILI YA MAENDELEO


Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso akiwahutubia wananchi wa wilaya ya Pangani mkoani Tanga kwenye mkutano wa hadhara uliyofanyika uwanja wa sokoni ambapo  alisisitiza umoja na mshikamano kwa wananchi ili kuweza kusukuma mbele  gurudumu la maendeleo 
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Pangani akizungumza katika mkutano huo
Mkuu wa wilaya ya Pangani Zainabu
Issa akizungumza katika mkutano huo ambapo alimuomba Naibu Waziri huyo  ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo hilo kuiwekea msukumo barabara ya  Tanga-Pangani ili kufungua fursa za kiuchumi kwa wilaya hiyo
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Pangani Seif Saidi akizungumza katika mkutano huo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Pangani,Sabas Chamnbasi akizungumza katika mkutano huo 
Diwani wa Kata ya Pangani Magharibi (CCM) John Semkande akizungumza katika mkutano huo
Naibu Waziri wa Maji na  Umwagiliaji,Jumaa Aweso akilakiwa na wananchi wa Jimbo la Pangani wakati alipokwenda kuhutubia wananchi wa wilaya ya Pangani kwenye mkutano wa hadhara uliyofanyika uwanja wa sokoni ambapo  alisisitiza umoja na mshikamano kwa wananchi ili kuweza kusukuma mbele 
gurudumu la maendeleo

Naibu Waziri wa  Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso akiingia eneo la mkutano kushoto ni Katibu wa CCM wilaya ya Pangani
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso akiwapungia mkono wananchi wa Jimbo hilo 
Naibu Waziri wa  Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso akisalimiana na viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano huo
Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso katikati akifuatilia matukio mbalimbali  kwenye mkutano huo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Pangani,Zainabu Issa  kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Pangani.

Kikundi cha Burudani kikitoa burudani kwenye mkutano huo wa hadhara.
Mganga Mkuu wa wilaya ya Pangani,Dkt Juma Mfanga akifuatilia mkutano huo
Sehemu ya umati wa wananchi wa Mji wa Pangani wakimsikiliza Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji,Jumaa Aweso(Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم