Abiria zadi ya 480 wamenusirika na ajali ya Baharini katika mkondo wa Nungwi baada ya meli waliyokuwa wakisafiria kwenda pemba ya MV Maendeleo kuharibika ikiwa Baharini na kulazimika kurudi Bandarini Zanzibar.