Video Mpya Kabisaa!! Gwiji wa Nyimbo za Asili,Bhudagala Mwanamalonja- Inaitwa YAMUSE




Leo Mei 30,2016 Malunde1 blog inakutambulishia rasmi album mpya 2016 ya msanii maarufu/manju wa nyimbo za asili hususani kabila la Kisukuma maarufu sana katika kanda ya Ziwa na Tanzania kwa ujumla ,Bhudagala Mwanamalonja kutoka Serengeti mkoa wa Mara.Albamu yake mpya inaitwa "Kishimbe"..sasa tazama video ya wimbo unaitwa  unaitwa Yamuse


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم