Tazama Video Mpya ya Bhudagala Mwana Malonja- Inaitwa ROSE..Kali Balaa,Yumo Msanii wa FUTUHI




Leo Mei 30,2016 Malunde1 blog inakusogezea Video mpya ya msanii maarufu/manju wa nyimbo za asili wa kabila la Kisukuma kanda ya Ziwa na Tanzania kwa ujumla Bhudagala Mwanamalonja kutoka Serengeti mkoa wa Mara.Wimbo Rose upo katika Albamu yake mpya 2016  inaitwa "Kishimbe"..Tazama hapa chini

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com au WhatsaApp: + 255 757 478 553
أحدث أقدم