Wasukuma Shikamoo!! HII HAPA VIDEO MPYA YA MWANAKWELA-Inaitwa ENZI ZILE,WANENGUAJI UTAFIKIRI HAWANA MIFUPA
الجمعة, فبراير 26, 2016
Msanii wa nyimbo za asili anayeimba kwa lugha ya Kisukuma,Mwanakwela kutoka Kahama Shinyanga,ameachia ngoma yake mpya,inaitwa "Enzi Zile".Ni wimbo wenye ujumbe mzito anazungumzia mambo mbalimbali ambayo yalikuwa yanafanywa na mababu zetu lakini siku hizi yanapuuzwa.
Mwanakwela ni miongoni mwa wasanii wa nyimbo za asili wenye wanenguaji waliobarikiwa kunengua viuno,Tazama video hii hapa chini ujionee Kazi hii nzuri
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundeblog@gmail.com
🚧🚦 Usiendeshe gari lako bila Mafunzo na Leseni halali_ 📲 Wasiliana nasi sasa: wa.me/255740273285 Unahitaji nini? 🚘 Unataka kujifunza udereva wa magari na kupata Cheti? 📄 Una cheti unataka kupata Leseni? 🔄 Unajua kuendesha lakini huna cheti wala leseni na unataka refresh upate cheti? 🛣️ Una nyaraka zote muhimu lakini unahitaji kujifua zaidi barabarani? ✅ Una Leseni bila cheti na unataka renew? 🌍 Tupo mikoa yote Tanzania hadi vijijini! 📞 Tupigie sasa: 0769 763 285
Social Plugin